![CreamyHelpfulBedlingtonterrier Alternative angle on Lionel Messis beautiful chipped goal v Rayo Vallecano [GIF]](http://giant.gfycat.com/CreamyHelpfulBedlingtonterrier.gif)
Lionel Messi amefunga goli la 336 katika ligi ya Hispania, magoli hayo ameyafunga katika jumla ya mechi 406 alizocheza kati ya mwaka 2004-2014 na kuweka rekodi ya kuwa mchezajia aliyefunga magoli mengi zaidi katika ligi hiyo akimpiku gwiji Telmo Zarra aliyekuwa akiishikilia rekodi hiyo kwa kufunga Magoli 335 katika mechi 252 alizocheza kati ya Mwaka 1940 - 1955.

0 comments:
Post a Comment