Bayern imeivunjavunja AS ROMA ya Italia kwa kipigo cha mabao 7-1 nyumbani, magoli ya Bayern yamefungwa na Roben dakika ya 8 na 30,R. Lewandowski, dak.25, Thomas Muller dak.36, Frank Ribery dak. 78 na Shaqiri dak. 80.
Huku lile a kufutia machozi la Roma likifungwa dak. ya 66 na Gervinho.
Huku lile a kufutia machozi la Roma likifungwa dak. ya 66 na Gervinho.
0 comments:
Post a Comment