Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi jana ameonesha bado 'wamo' baada ya kuisaidia timu yake uibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Croatia katia mechi ya Kirafiki iliyofanyika uwanja wa Upton Park huko Uingereza, akifunga goli la ushindi.
Croatia ndiyo waliotangulia kufunga dakika ya 12 kupitia kwa Anas Sharbini
![]() |
| Anas Sharbini akiangalia mpira aliopiga ukiingia golini |
![]() |
| Messi aifunga goli la ushindi |


0 comments:
Post a Comment