Prisons ikiwa nyumbani Mbeya imeichapa Ruvu shooting kwa mabao 6-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo jijini humo.
Hadi mapumziko wenyeji walikua mbele kwa mabao 4-0 na kipindi cha pili wajaongeza bao nyingine mbili.Majina na muda wa magoli havikuweza kupatikana mara moja.
Kwa matokeo hayo Prisons wamefikisha pointi 16 baada ya kucheza michezo 16,Ruvu shooting wapo nafasi ya 5 baada ya michezo 18.
0 comments:
Post a Comment