
Mahakama ya mjini Munich Ujerumani imemkhukumu kiufungo cha miaka 3 na nusu rais wa Timu ya Bayern Munich Uli Hoeness kwa kosa la kukwepa kulipa kodi.
Hukumu imetolewa baada ya mahakama kujirisdhisha kuwa kiongozi huyo wa klabu ya bayern alikwepa kulipa kodi yenye thamani ya Euro Milioni 27.2 kwa kuweka fedha katika akaunti zake huko Uswisi.
0 comments:
Post a Comment