TIMU YA WATOTO YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA!

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA IMEFANIKIWA KUTWAA KOMBE LA DUNIA KWA WATOTO WA MITAANI BAADA YA KUIFUNGA BURUNDI KWA JUMLA YA MAGOLI 3-1!  MPAKA KIPINDI CHA KWANZA KINAISHA TANZANIA WALIKUWA WAKIONGOZA KWA MAGOLI 2-0 NA KIPINDI CHA PILI WALIONGEZA GOLI LA TATU, HUKU BURUNDI WAKIJIPATIA BAO LA KUFUTA MACHOZI BAADAYE.










0 comments:

Post a Comment