TOTENHAM YAWAVURUGA SUNDERLANDA 5-1,ADEBAYOR ATISHA.






 

Timu ya Totenham hapo jana imeifurumishia mvua ya magoli timu iliyo katika hati hati ya kushuka daraja ya Sunderland kwa kuifunga jumla ya magli 5-1, huku mtogo Adebayor akifunga magoli mawili kati ya hayo.

Magoli ya Totenham hapo jana yalifungwa na Adebayor 28′, 86′ Kane 59′ Eriksen 78′ Sigurdsson 90 huku lile la Sunderland likifugwa na Cattermole 17′ .

Kwa matokeo hayo Totenham wamefikisha point 59 wakiwa nafasi ya 6 mbele ya Man.United yenye Pointi 57, huku Sunderland wakibaki na pointi 25 na wakiendelea kushika mkia wa ligi hiyo nafai ya 25.

0 comments:

Post a Comment