Mechi za Leo Jumatano , April 9.2014 | ||
---|---|---|
2:45 PM EDTAtlético de Madrid | vs. | |
2:45 PM EDTFC Bayern München | vs. | @ www.bongospoti.blogspoti.com |
Robo fainali za ligi ya mabingwa inaendelea leo kwa mechi kati ya Manchester United wanaifuata Bayer Munich nyumbani kwao katika uwanja wa Allianz Arena, Barcelona wapo ugenini kuwafuata Atletico Madrid, katika mechi za awali timu zote nne zimetoka droo ya 1-1 na hivyo leo kila timu ina nafasi ya kusonga mbele, ingawa wenyeji ambao ni Atletico Madrid na Bayern Munich wanafaida zaidi kutokana na kuwa na magoli ya ugenini na kuwa nyumbani.
Man.U watahitaji nguvu ya ziada kuwatoa Bayern ambao wapo katika kiwango kizuri hasa baada ya kuchukua kombe la Ujerumani.
Barca Vs Atletico; Rekodi mbaya ya Mshambuliaji Lionel Messi kwa Atletico Madrid inawatia hofu masabiki wa Barca kwani katika jumla ya Mechi tano walizokutana Messi hajafanikiwa kuifunga goli hata moja imu hiyo.
0 comments:
Post a Comment