Los Ticos: Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao,
Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki Kombe
la Dunia hatua ya 16 Bora. Costa Rica imeenda Robo Fainali kwa ushindi wa
penalti 5-3 baada ya sare hiyo ndani ya dakika 120 na sasa itamenyana na
Uholanzi, ambayo mapema iliitoa Mexico kwa kuifunga mabao 2-1.
0 comments:
Post a Comment