LOGA ASAINI MKATABA MPYA SIMBA FC.

HATIMAYE LEO KOCHA ZDRAVKO LOGARUSIC AMESAINI MKATABA MPYA WA MWAKA MMOJA KUINOA SIMBA. LOGA AMESAINI MKATABA HUO MBELE YA MAKAMU WA RAIS WA SIMBA, GEOFREY NYANGE 'KABURU' NA BAADHI YA WAJUMBE AKIWEPO COLLINS FRISCH.
Kaburu na Loga wakisaini mikataba

Tayari kwa kazi!

0 comments:

Post a Comment