Mugiraneza Jean Baptiste akishangilia baada ya kufunga penalti ya ushindi ya APR |
Katika penalti za mwisho, Nahodha Ndayisenga Fuad alikosa mkwaju wa Rayon kabla ya Mugiraneza Jean Baptiste kuifungia penalti ya ushindi APR na kuipeleka Nusu Fainali ya michuano ya mwaka huu.
Beki wa APR, Rubwiro Herve akiupitia mpira miguu mwa winga wa Rayon, Gueli Koffi leo Nyamirambo |
Wachezaji wa Polisi kulia na wa Atletico kushoto wakigombea mpira wa juu. Dakika 90 ziliisha 0-0.
CREDIT: BIN ZUBERY
0 comments:
Post a Comment