CHELSEA
imeanza vyema Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa ugenini wa mabao
3-1 Uwanja wa Turf Moor dhidi ya wenyeji Burnley waliopanda Ligi Kuu
msimu huu.
Wachezaji waliompa raha kocha Jose Mourinho usiku huu ni mshambuliaji mpya Diego Costa aliyefunga dakika ya 17, Andre Schrulle dakika ya 21 na Branislav Ivanovic dakika ya 34.
Scott Arfield alitangulia kuwafungia wenyeji mapema dakika ya 14 kabla ya The Blues kugeuza kibao na kuibuka na ushindi huo mnene ugenini, wachezaji wapya wengine Cesc Fabregas, Thibaut Courtois na Didier Drogba wakicheza pia.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Schurrle/Willian dk78, Oscar/Mikel dk82, Hazard/Drogba dk84 na Costa.
Burnley: Heaton, Trippier, Duff, Shackell, Mee, Taylor/Kightly dk70, Marney, Jones, Arfield, Ings/Sordell dk82 na Jutkiewicz/Barnes dk70.

Diego Costa ameanza na moto Ligi Kuu England baada ya kutisha La Liga |
Scott Arfield alitangulia kuwafungia wenyeji mapema dakika ya 14 kabla ya The Blues kugeuza kibao na kuibuka na ushindi huo mnene ugenini, wachezaji wapya wengine Cesc Fabregas, Thibaut Courtois na Didier Drogba wakicheza pia.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Schurrle/Willian dk78, Oscar/Mikel dk82, Hazard/Drogba dk84 na Costa.
Burnley: Heaton, Trippier, Duff, Shackell, Mee, Taylor/Kightly dk70, Marney, Jones, Arfield, Ings/Sordell dk82 na Jutkiewicz/Barnes dk70.
0 comments:
Post a Comment