
mpya
ulaya
Wazee
wa dozi; Mshambuliaji wa Spurs, Emmanuel Adebayor akipongezwa na
wenzake baada ya kufunga bao katika ushindi wa 4-0 dhidi ya QPR Uwanja
wa White Hart Lane. Mabao mengine ya Tottenham Hotspur yamefungwa na Chadli mawili na moja Eric Dier kikosi cha Mauricio Pochettino kiking'ara leo katika Ligi Kuu ya England.
TOTENHAM WAENDELEZA UBABE EPL-WASHINDA 4-0
9:43 PM
No Comments

0 comments:
Post a Comment