Alexis Sanchez alitangulia kuwafungia Gunners dakika ya 14 kwa mpira wa adhabu, kabla ya Dusan Tadic kusawazisha dakika sita baadaye kwa penalty, kufuatia Tomas Rosicky kumchezea rafu Sadio Mane.
![]() |
Mshindi wa mechi; Nathaniel Clyne akiifungia Southampton bao la ushindi jana |
Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Ospina, Bellerin/Akpom dk86, Chambers, Hayden, Coquelin, Rosicky, Diaby/Cazorla dk67, Campbell/Oxlade-Chamberlain dk71, Wilshere, Podolski na Sanchez.
Southampton: Forster, Clyne, Fonte, Gardos, Targett/Bertrand, Wanyama, Schneiderlin, Mane/Long dk72, Davis, Tadic na Pelle.
Jack Wilshere akijaribu kuondosha mpira mbali ya Sadio Mane katika mchezo wa jana
0 comments:
Post a Comment