
Baraza la Sanaa la Taifa ‘BASATA’ limeanza kupeleleza tetesi
zinazoendelea kuhusiana na Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kwa
kudanganya umri wake.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana na utamaduni Juma
Mkamia alifunguka na kusema kuwa Bazara limetoa siku 7 tu
ilikubaini ukweli kuhusiana na Miss Tanzania 2014 kwa
kudanganya umri wake na ikibainika kama nikweli alidanganya umri
wake hatua kali zitachukuliwa.
0 comments:
Post a Comment