mpya
ulaya
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BARCA, SHALKE, PORTO ZA SHINDA,CHELSEA,BAYERN, SHAKHTAR ZAUA.
Lionel Messi hapo jana alitoa pasi iliyomsaidia Neymar kufunga goli la kwanza kwa Barcelona dhidi ya Ajax Amsterdam dakika ya 7, kabla ya yeye mwenyewe kuongeza la pili dakika ya 24,huku goli la tatu la Barca likifungwa dk.ya 90. Goli la Ajax lilifungwa dakika ya 88 na El Ghazi.
Matokeo yote ya mechi za jana ni kama ifuatavyo:
0 comments:
Post a Comment