Ronaldo ndiye aliyetangulia kuifungia Madrid dakika ya 23 kwa shuti kali nadakika 7 baadaye Benzema akaiandikia Liverpool goli la pili kabla yakuongeza la 3 mnamo dakika ya 41.
Katika mechi nyingine Arsenal wamepata ushindi adimu katika dakika za majeruhi baada ya kuongozwa kwa goli moja na Anderlecht ahsante kwa magoli ya Gibbs dak.ya 89 na Lukas Podolski dak. 90+, goli la Anderlecht lilfungwa dakika ya 71 na Najar.Borusia Dotmund pia waliwatungua wenyeji wao Galatasalay bao 4-0.
MATOKEO KWA UJUMLA NI KAMA IFUATAVYO:
0 comments:
Post a Comment