Penati waliyopata Barca. |
Barcelona imeonesha bado ni kigongo kwa kuichapa Manchester City kwa mabao 2-0 nyumbani kwao Etihad.
Goli la Messi |
Mabao ya Barca yalifungwa na Lionel Messi, dak.53 kwa mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa na kipindi cha pili, na Dani Alves akafunga bao la pili dak.89 kwa kumpiga ‘tobo’ kipa wa Man City.
Vikosi:
0 comments:
Post a Comment