PSG YAIVURUGA BAYER LEVERKUSEN



Zlatan Ibrahimovic alifunga mabao mawili wakati PSG ikiilipua Bayer Leverkusen kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwao Ujerumani.

Mabao mengine ya PSG yamefungwa na na Blaise Matuidi na Yohan Cabaye aliyejiunga na timu hiyo akitokea Newcastle, msimu huu.

0 comments:

Post a Comment