MAN CITY VS BARCELONA KESHO HAPATOSHI!

city_new_45457.jpg

Timu ya Manchester City itakutana na timu ya Barcelona siku ya Jumanne, Tarehe 18/02/2014 katika kombe la klabu bingwa ulaya katika uwanja wa Etihad Stadium, mtanange huo utakawakutanisha wababe hao wa soka utakua katika sura mpya kwenye historia ya soka la dunia kwani itakuwa ni mara ya kwanza kwa timu hizo kukutana.
Manchester City itamkosa mshambuliaji wake mahiri Sergio Aguero ambaye yupo majeruhi;hivyo kocha Manuel Pellegrini bado ana washambuliaji wakutosha kama Dzeko, Negredo na Jovetic wakati huo huo Barcelona itawakilishwa na nyota wake kama Lionel Messi na Neymar Jr katika mtanange huo wa kugombania kombe la mabingwa ulaya katika hatua ya 16 bora siku hiyo ya Jumanne.


CLICK HAPA KUFANYA KAZI ONLINE NA KUJIPATIA KIPATO CHAKO LEO!

0 comments:

Post a Comment