ARSENAL YALIPA KISASI KWA LIVERPOOL

Goli la kwanza la Arsenal

Arsenal wamekataaa uteja kwa Liverpool baada ya leo hii kuwatoa katika kinyang'anyiro cha kombe la FA kwa jumla ya magoli2-1. Magoli ya Arsenal yamefungwa na
Alex Oxlade-Chamberlain dak. ya 16 na Lukas Podolski dak. 47, wakati goli la liverpool limefungwa dak. ya 60 kwa njia ya penati.

0 comments:

Post a Comment