MAN.CITY WATINGA FAINALI YA FA CUP, WAIFUNGA CHELSEA 2-0.

Manchester City wamewaondoa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Chelsea katika kinyang'anyiro cha Kombe la FA baada ya kuwafunga kwa jumla ya Magoli mawili bila.Magoli ya City uamefungwa na Stevan Jovetic katika dakika ya 16 jna lile la pili lilifungwa mnamo dakika ya 67 na Samir Nasri.Kipgo hicho kwa Chelsea kimekuwa kama ni kulipiza kisasi cha kipigo cha bao 1-0 walichokipata Man.City katika mechi ya ligi wiki iliyopita.Hata hivyo kwa Jose Mourinho inaweza kuwa siyo kushindwa bali ni mbinu aliyokuwa nayo tangu awali ya kutumia nguvu kidogo katika kombe hilo ili aweze kuwapumzisha wachezaji wake kwa ajili ya mechi za ligi kuu ambazo kombe lake ndilo analichukulia kwa uzito zaidi.

0 comments:

Post a Comment