YANGA 5 - 2 KOMORIZINE;Ngassa apiga tatu.



KWA MATOKEO TULIYOYAPATA KUTOKA COMORO,YANGA WAMESHINDA KWA GOLI 5-2 DHIDI YA KOMORIZINE, HUKU MRISHO NGASA AKING'ARA KWA KUFUNGA MAGOLI MATATU 'HAT TRICK'.

0 comments:

Post a Comment