MAPOKEZI YA AZAM FC HAPO JANA.


Mashabiki wakicheza Uwanja wa ndege



Wachezaji wa Azam FC wakiwasili



Kulia ni Abubakar Mapwisa akiwasili na wachezaji



Kushoto Brian Umony na wachezaji wenzake

Azam walikuwa wa kwanza kupata bao Azam FC pia inakuwa timu ya kwanza nje ya Simba na Yanga kutwaa ubingwa wa Bara tangu mwaka 2000 Mtibwa Sugar ilipofanya hivyo
Azam inakuwa timu ya saba nje ya Simba SC kutwaa taji la Ligi Kuu, baada ya Cosmo mwaka 1967, Mseto mwaka 1975, Pan Africans mwaka 1982, Tukuyu Stars mwaka 1986, Coastal Union 1988 na Mtibwa Sugar mara mbili mfululizo 1999 na 2000.


0 comments:

Post a Comment