Sare
ya kwanza; Ashkan Dejagah wa Iran kushoto akikabiliana na beki wa
Nigeria, Joseph Yobo katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia usiku huu
nchini Brazil. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana, hiyo ikiwa ni
sare ya kwanza katika michuano ya mwaka huu. Nigeria ilicheza soka safi
na kutawala mchezo, lakini ikashindwa kuziona nyavu wa Iran.
0 comments:
Post a Comment