Arsenal wameachia rasmi jezi zao za Puma zitakazotumika kwa msimu wa 2014/15 usiku wa hapo jana huko River Thames.
Hatua hiyo imekuja mwaka mmoja baada ya Arsenal kutangaza kuachana na aliyekuwa mdau wake kwa muda mrefu katika 'uzi' kampuni ya Nike.
Rangi zilizotumika katika jezi hizi ni zile zile asilia za Arsenal zikijumuisha Nyekundu, nyeupemnjano na kuongezewa na Bluu nzito.
Ziangalie hapa:
CHECK VIDEO YAKE HAPA:
0 comments:
Post a Comment