VAN GAAL ALIVYOTAMBULISHWA MAN UNITED LEO



Karibu ulete mataji: Kocha mpya wa Manchester United,
Louis Van Gaal kushoto akikaribishwa katika ofisi yake mpya na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward makao makuu ya Mashetani hao Wekundu, Carrington

Van Gaal akiwa na Kocha Msaidizi, Ryan Giggs kushoto

Aliwasili na ndege hii binafsi Uwanja wa Ndege wa Manchester leo asubuhi

0 comments:

Post a Comment