LUIS FIGO ATUA DAR.





Mwanasoka Bora wa zamani wa Dunia, Luis Figo kushoto akiwa Said Tuliy kulia baada ya kuwasili mjini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kukichezea kikosi cha magwiji wa Real Madrid dhidi ya magwiji wa Tanzania Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tuliy ni mmona wa Waratibu wea ziara ya magwiji hao nchini.



Nyota mwingine wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu akiwa na Tuliy baada ya kuwasili nchini


Karembeu akiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya TSN, Farough Baghozah kushoto, ambaye kampuni yake ndiyo inawaleta magwiji wa Real nchini



Magwiji wa Tanzania wanaendelea na mazoezi Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo huo, kulia ni Stephen Nyenge, kushoto Boniface Pawasa. 


 PICHA ZOTE NA BIN ZUBEIRY.






0 comments:

Post a Comment