MSHAMBULIAJI
Diego Costa ameendeleza mwanzo mzuri katika Ligi Kuu ya England baada
ya kuifungia Cheslea mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-2 dhidi
ya Swansea City Uwanja wa Stamford Bridge, Londo.
Wakati
mchezaji huyo bora wa Agosti, akipiga hat trick yake ya kwanza England
na kufikisha mabao saba ndani ya mechi nne, bao lingine la Chelsea
lilifungwa na mchezaji mpya, Loic Remy aliyeingia kuchukua nafasi ya
Coasta kipindi cha pili. Beki John Terry alijifunga kuipatia Swansea
ambayo bao lake lingine lilifungwa na Jonjo Shelvey.
Kikosi
cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta,
Matic, Fabregas/Salah dk82, Schurrle/Ramires dk46, Oscar, Hazard na
Diego Costa/Remy dk72.
Swansea:
Fabianski, Rangel, Amat/Fernandez dk46, Williams, Taylor, Ki, Shelvey,
Sigurdsson, Dyer, Routledge/Montero dk66 na Gomis/Bony dk76.
Kuna maswali? Diego Costa amepiga hat trick Chelsea ikiua 4-2 Ligi Kuu England |
0 comments:
Post a Comment