Neymar amefunga magoli mawili mna kuisadia Brazil atia ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Uturuki katika mechi ya kirafiki iliyochezwa jana usiku huko Uturuki ukiwa ni ushindi wa tano mfululizo kwa kocha Dunga.
Neymar alianza kuifungia Brazil dak. ya 21,mlinzi wa uturuki Semith Kaya alijifunga mwenyewe dak. 25,n kiungo wa Brazil William akaifungia Brazil goli la tatu baada ya kupata pasi ya Neymar, dak. ya 60 Neymar tena aliifungia Brazil goli la 4 na la ushindi.
Kwa magoli hayo, Neymar amefikisha magoli 42 kati ya mechi 59 alizoichezea timu yake ya Brazil.
Katika hali ya kushangaza mashabiki wa Uturuki walikuwa wakiimba jina la Neymar na kuwazomea wachezaji wa timu yao katika mechi hiyo.
Nahodha Neymar jana amefunga magoli mawili.
Neymar aimtoka ipa wa Uturuki Demirel kabla ya kufunga
0 comments:
Post a Comment