Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi na Romelu Lukaku wa Everton wameibeba Ubelgiji katika ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Iceland.
Benteke akifanya yake hapo jana
Lukaku akifunga goli la Tatu.
Iceland waliokuwa wenyeji ndiyo walitangulia kufunga dak.12 kupitia kwa Nicolas Lombaert, huku Ubelgiji wakirudisha goli hilo kupitia kwa Alfred Finnbogason, kabla ya Divock Origi kuifungia tena dak. ya 25, na kisha Lukaku akahitimisha ushindi kwa goli lake la dakika 62.
0 comments:
Post a Comment