ARGENTINA 2-1 CROTIA: MESSI AFUNGA: PICHA HAPA

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi jana ameonesha bado 'wamo' baada ya kuisaidia timu yake uibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Croatia katia mechi ya Kirafiki iliyofanyika uwanja wa Upton Park huko Uingereza, akifunga goli la ushindi.

Croatia ndiyo waliotangulia kufunga dakika ya 12 kupitia kwa Anas Sharbini



Anas Sharbini akiangalia mpira aliopiga ukiingia golini
Messi puts Argentina ahead from the penalty spot after his side had gone 1-0 down
Messi aifunga goli la ushindi
Mshambuliaji wa Man City Aguero  alisawazishia goli Argentina dak. ya 48 baada ya kupata pasi safi ya Messi, Dak. ya 57 Lionel Messi mwenyewe aliifungia timu yake bao la ushindi kwa mkwaju wa penati baada ya Arguero kuchezewa rafu na Kalinic ndani ya eneo la hatari.


0 comments:

Post a Comment