FLOYD MAYWEATHER AMDUNGA MAIDANA-AZUNGUMZIA PAMBANO LAKE NA MANNY PACQUIAO

Floyd Mayweather amendeleza ubabe wake katika ndondi baada ya kumchapa kwa pointi Marcos Maidana wa Argentina huku akidhiirisha umahiri wake katika mbinu za mchezo huo na kufikisha rekodi ya kucheza mapambano 47 bila kupoteza wala kutoa sare pambano hata moja, akizua maswali mengi kama yeye ndiye bondia mashuhuri katika historia? je hatapoteza pambano hata moja katika kipindi chake?

Maidana mbaye leo alionekana kutumia nguvu nyingi zilizompelekea kucheza rafu iliyomfanya apokwe pointi.
Mayweathether alilazimika kutumia uzoefu wake na mbinu nyingi kuzuia makonde ya haraka kutoka kwa Maidana.
 Mwisho wa mchezo majaji wote walitoa ushindi kwa Mayweather kwa pointi:115-112,1116-111,116-111.

Alipoulizwa anakionaje kiwango chake baada ya mchezo Mayweather amesema kwa leo amecheza kwa wastani na anaona alistahili kucheza vizuri zaidi ya alivyocheza, akiongeza kuwa ameruhusu mashambulizi mengi ambayo angeweza kuyazuia.

 KUCHEZA NA MANNY PACQUIAO?
  alipoulizw kama hatimaye mashabiki wake watarajie pambano lake na Manny Pacquiao hapo mei mwaka 2015, Mayweather alijibu "kama pambano limejitokeza lenyewe basi acha tulifanye".
 
Mayweather vs. Maidana 2 Results: Winner, Recap and Rematch Prize Money Split
Floyd Mayweather was a clear and deserved winner over the Argentine Marcos Maidana at the MGM Grand
Floyd Mayweather akimtupia konde Marcos Maidana 
Floyd Mayweather landed the better shots on the counter during the rematch to move to 47-0
Floyd Mayweather akifikisha mono kwenye kichwa cha Maidana
Floyd Mayweather goes to work on the body of Marcos Maidana with a jab
Floyd Mayweather akimchapa Marcos Maidana 
Will Smith enjoys the action from the stands at the MGM Grand's Garden Arena
Will Smith akifurahia pambano hilo ukumbi wa MGM Grand
Marcos Maidana roughs Floyd Mayweather up by rubbing his arm in the American's face
Marcos Maidana alilazimika kucheza faulo kumdhibiti Mayweather Floyd Mayweather goes down after he felt he was bundled to the ground by Marcos Maidana
Floyd Mayweather akienda chini baada ya kusukumwa na Marcos Maidana
Marcos Maidana has a point deducted by referee Kenny Bayless 
Marcos Maidana akikatwa na pointi na Kenny Bayless kwa kucheza rafu 
 
0 comments:

Post a Comment