Real Madrid ilitoka nyuma kwa goli moja lililofungwa na Neymar kwenye
dakika 3 na kuisambaratisha Barcelona kwa mabao 3-1.Kwenye mchezo huo
ambao Real Madrid ilirudisha goli kwenye dakika ya 35 kwa njia ya penati
baada ya beki wa Barcelona Pique kushika mpira uliokuwa unaelekea eneo
la Hatari.Magoli ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo(35),
Pepe (55) na Karim Benzema(61)
0 comments:
Post a Comment