Goli la Toni Kroos dakika ya 71 lilionekana kuipa ushindi Ujerumani katika mechi ya kufuzu kwa fainali za Euro 2016 dhdi ya Ireland ingawa mambo yalibadilika dakika za majeruhi na John O'shea wa Ireland akaiharibu siku ya Ujerumani iliyokuwa nyumani kwa kufunga goli la kusawazisha dakika 90 zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika.
Kwa matokeo hayo Ujerumani inashika nafasi ya tatu katika kundi D baada ya kucheza michezo 3 kushinda mechi 1,kutoa sare 1 na kupoteza mechi 1.
Kwa matokeo hayo Ujerumani inashika nafasi ya tatu katika kundi D baada ya kucheza michezo 3 kushinda mechi 1,kutoa sare 1 na kupoteza mechi 1.
0 comments:
Post a Comment