Liverpool wameng'aa mbele ya QPR huko Loftus Road,magoli mawili kati ya hayo QPR wakijifunga wenyewe.R.Dunne alijifunga goli dak. ya 67, kabla ya Vargas kuisawazishia QPR dak. ya 87,na dak. ya 90 akaifungia tena goli la pili, kabla ya Philippe Coutinho kuifungia goli Liverpool dak. ya 90 huku goli la ushindi la Liverpool lilfungwa na Caulker katika dakika za majeruhi.
CREDITS: Saleh Jembe.
0 comments:
Post a Comment