Ndanda FC imemfuta kazi kocha wake, Denis Kitambi na kocha wa makipaMohammed Mwarani kwa matokeo mabaya katika ligi kuu inayoendelea.
Taarifa zinaeleza, uongozi wa klabu hiyo umechukua uamuzi huo baada
ya vipigo viwili dhidi ya Mtibwa Sugar na kile cha nyumbani jana dhidi
ya Ruvu Shooting.
Imeelezwa kumekuwa na kikao cha dharura na viongozi wamefikia uamuzi huo.
0 comments:
Post a Comment