RONALDO APIGA 2 MADRID IKISHINDA 5.



Levante 0-5 Real Madrid: Ronaldo scored twice in Blancos stroll
Cristiano Ronaldo amefikisha goli la 14 na 15 katika La Liga hapo jana baada ya kuchangia magoli mawili katika ushindi wa ao 5-0 kwa Real Madrid dhidi ya Levante, magoli ya Ronaldo yalinfungwa dakika ya
Cristiano Ronaldoyalifungwa dakika za 13 na 61, huku magoli mengine yakifungwa na Hernandez dak.38, Rodriguez dak. 66 na Isco aliyefunga dak. ya 82.

0 comments:

Post a Comment