|
JUAN MATA
ALIYEINGIA KATIKA KIPINDI CHA PILI AMEFUNGA BAO PEKEE WAKATI MAN UNITED
IKIFANIKIWA KUIANGUSHA CRYSTAL PALACE KWA BAO 1-0 KATIKA MECHI YA LIGI
KUU ENGLAND ILIYOCHEZWA KWENYE UWANJA WA OLD TRAFFORD. MATA ALIPOKEA
PASI, AKAUTULIZA MPIRA, AKIWA KAMA NI MTU ANAYETOA PASI, AKAPIGA BONGE
LA FATAKI LILILOJAA WAVUNI NA KUAMSHA MATUMAINI YA MASHATENI HAO AMBAO
WAMEKUWA WAKIENDELEA KUSUASUA. |
CREDITS: SALEHE JEMBE BLOG
0 comments:
Post a Comment