Baada ya Nyemar wa Brazil, mchezaji mwingine tegemeo wa Argentina Di maria ameumia hapo jana na taarifa zinasema mchezai huyo hatorudi tena katika fainali hizo.
Di Maria aliumia hapo jana katika mchezo wa timu yake dhidi ya Ubelgiji ambayo iliisha kwa Argentina kushinda bao 1-0, alitolewa dak. ya 33 akimpisha Enzo Perez aliyetokea benchi.
Kwa mujibu wa kocha wa Argentina Alejandro Sabella mchezaji huyo atafanyiwa vipimo kamili leo.
0 comments:
Post a Comment