Ukimaliza kuangalia picha hizi, naamini utatamani kila timu inayoshiriki kombe la dunia iwe inashinda kila siku! lakini swali gumu ni........Timu hizo zimfunge nani ili zifurahi? au zimfunge nani ambaye naye atafurahi kufungwa ili mashabiki wote wawe na furaha? .............Ni ngumu sana na inachosha hata kufikiri ila ninachojua mashabiki wote hawapendi mno kupoteza na pengine huwa wanapata maumivu makalikuliko hata hao wachezaji,..........Mfumo utabaki kuwa hivyo lazima mtu apoteze ili mwingine ashinde, lakini pia ni wakati muafaka kwa wachezaji nao kujituma kwa nguvu ili hata wanapopoteza kuwafariji mashabiki wao kuwa walijaribu........................HASA WACHEZAJI WA AFRIKA!!
-
Mashabiki wa Korea ya Kusini wakilia wakati wakishuhudia timu yao ikifungwa na Algeria kupita 'Big Screen' huko kati kati ya jiji la Seoul, Korea .
-
Shabiki wa Marekani akishuhudia mechi kupitia 'Big Screen' kati ya timu yake na Ureno ,Juni 22,2014 huko Copacabana,Brazil.
-
Mh! wapenzi nao huwa na kazi ya ziada zaidi ya kushughulikia mahusiano yao, wale nimashabiki wa Ureno.
-
Mh! si utaangusha macho mama? shabiki wa Ecuador huyo wakati wa mechi yao na Honduras.
-
Mzee rudi kwenye Kung Fu ndo zenu huku utakufa presha!- Shabiki wa Japan huyo baada ya kuangalia mechi kati ya Japan na Colombia ambayo timu yake ilifungwa 4-1. 2014.
-
He! kofia ya ndizi imezidi kuwa nzito kwa huyu shabiki wa Italy baada ya timu yake kufungwa na Costa Rica.
-
Wanajisikia Ovyooo! mashabiki wa Hispania hao wakiangalia bingwa wao akiadabishwa na Uholanzi.
-
Uuuuuuuuu! Mashabiki wa Uingereza hao katika mechi yao dhidi ya Uruguay.
-
Mashabiki wa Japan wakiwa wamenywea wakati timu yao ilipofungwa na Ivory Coast, Juni 15,2014
-
mashabiki wa Uingereza baada ya timu yao kukosa nafasi ya kusawazisha siku walipocheza na Italy.
-
Wadada wa Japan hao!
-
Mashabiki wa Korea Kusini.
-
Shabiki wa Hispania huyo wakati wa mechi yao na Chile
-
Mashabiki wa Uingereza wakiwa baa wanacheki mechi.
-
Shabiki wa Korea wakati wa mechi ya dhidi ya UrusiJuni 18,2014 .
-
Wachezaji mnatupa wakati mgumu kweli wanaume! tuwabembeleze kuhusu 'yetu' na tuwabembeleze kwenye mpira?
-
Mhhh! -shabiki wa Japan Huyo!
-
Shabiki wa Croatia huyo baada ya timu yake kufungwa 3-1 na Mexico.
-
Machozi yanamlenga!
-
Msiba! shabiki wa Croatia baada ya timu yao kufungwa.
-
wadada wa vidoti wakilia baada ya japan yao kufungwa.
0 comments:
Post a Comment