CHINI YA LOGA, MATOLA, CHEKI SIMBA WALIVYOJIFUA JANA NDANI YA DAR



SIMBA IMEENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU BARA IKIWA CHINI YA ZDRAVKO LOGARUSIC PAMOJA NA MSAIDIZI WAKE SELEMANI MATOLA. MAZOEZI HAYO YALIFANYIKA KATIKA ENEO LA BUNJU, NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM.







 
Credits:Saleh Jembe Blog.

0 comments:

Post a Comment