HUKU
Brazil ikisherehekea ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia usiku wa Ijumaa
na kiting Nusu Fainali ya Kombe la Dunia, lakini ilipata pigo baada ya
mshambuliaji tegemeo, Neymar kuumia na kukimbizwa hospitali.
Nyota huyo wa Barcelona alitolewa née Uwanja wa Fortaleza zikiwa zimesalia dakika tatu na kukimbizwa hospitali baada ya mechi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 sasa yuko shakani kuichezea Brazil katika Nusu Fainali dhidi ya Ujerumani Jumanne.
Anatolea nje: Neymar akiwa amebebwa kwenye machela kutolewa née kabla ya kukimbizwa hospitali baada ya mechi
Rafu iliyomuumiza; Hakuwa na mpira wakati anapigwa kwa goti mgongoni na Camilo Zuniga
Akaenda chini kama mzaha
Akashika eneo la mgongoni alilopigwa
Beki Marcelo anamuombea msaada baada ya kugundua ameumia kweli
Anapatiwa huduma ya kwanza uwanjani
Nyota
wa Colombia, James Rodriguez anamkaribia Neymar kumtaka ainuke kutoka
nje mchezo uendelee kuokoa muda wajaribu kusawazisha bao, wakati huo
tayari Brazil inaongoza 2-1.
0 comments:
Post a Comment