HUU NDIYO UZI
MPYA WA MANCHESTER UNITED ULIOVUJA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI, IMEELEZWA
HATA KAMA KUTAKUWA NA TOFAUTI HAITAKUWA KUBWA. KLABU
HIYO SASA ITATUMIA NEMBO YA WADHAMINI WAKE KAMPUNI YA MAGARI YA
CHEVROLET BADALA YA ILE KAMPUNI YA BIMA YA AON, ZOTE NI KAMPUNI ZA
KIMAREKANI. |
0 comments:
Post a Comment