RAGE AKIWA HOSPITALINI |
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden
Rage, anaendelea vizuri.
Rage amelazwa kwenye hospitali mjini Dodoma
baada ya kupata ajali ya gari, juzi.
Rage ambaye ni mbunge wa Tabora Mjini, alipata
ajali hiyo wakati akitokea jimboni mwake kwenda Dodoma kwa ajili ya Bunge la
Katiba.
0 comments:
Post a Comment