Manchester United wameendeleza ubabe wao katika mechi za kirafikikujiandaa na msimu ujao baada ya kuifunga Liverpool kwa mabao 3-1, mabao ya wababe hao ambao wamerudi kwa kasi baada ya kupata kocha mpya yamefungwa na Wayne Looney dak. ya 55 aliyemailizia kazi safi ya Javier Henandez, la pili lilifungwa na Juana Mata aliyepiga shuti kali dak.57.
Jesse Lingard aliifungia Man U goli la tatu dak. ya 88 baada ya connection nzuri na Ashley Young.
Goli la kufutia machozi la Liver lilifungwa dakika ya 14 na Steven Gerrard kwa penati baada ya Sterling kukwatuliwa ndani ya box.
0 comments:
Post a Comment