REFA
maarufu England, Howard Webb amestaafu kupuliza kipyenga baada ya miaka
25-na sasa atakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya marefa (PGMOL).
Refa
huyo mwenye heshima kubwa amechezesha mechi zaidi ya 500 za Ligi Kuu ya
England na nyingine za mashindano ya soika nchini humo tangu apande
daraja mwaka 2003.
Webb
pia amechezesha fainali mbili za Kombe la Dunia na mbili za Kombe la
Mataifa ya Ulaya, kabla ya kuweka rekodi ya kuwa refa wa kwanza kucheza
fainali Euro na Kombe la Dunia kwa mwaka mmoja, 2010.
kashfa
moja kubwa ya Webb enzi zake ilikuwa ni kuibeba Manchester United, hapa
anazungumza na mshambuliaji wa timu hiyo, Wayne Rooney katika moja ya
mechi alizochezesha
0 comments:
Post a Comment