Mshambuliaji
Paul Kiongera wa Simba (kulia), akijaribu kumtoka Simon Silwimba wa
Zesco ya Zambia, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa
leo katika sherehe za Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba
ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0.
Amisi
Tambwe wa Simba (kulia), akijaribu kumhadaa Simon Silwimba wa Zesco ya
Zambia, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa leo katika
sherehe za Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilipoteza
mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0.
0 comments:
Post a Comment