Goli la dakika za nyongeza la Robin Van Persie limeisaidia Manchester
United kutoka sare ya 1-1 na Chelsea kwenye uwanja wa Old
Traford.Chelsea ndio ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa Didier
Drogba kwenye dakika ya 53 kwa njia ya kichwa .Licha ya Chelsea
kuichachafya sana ngome ya Manchester United kabla ya beki wa kulia wa
Chelsea Ivanovic kutolewa kwa kadi nyekundu kutokana na kumfanyia faulo
Angel Di Maria,Chelsea iliongoza kimchezo kwa asilimia 57.1 huku
Manchester United ikichukua 41.2% na mpaka mwisho wa mchezo timu zote
zimetoka sare 1-1 na Chelsea kuongoza msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza
na Manchester United
0 comments:
Post a Comment