HIVI NDIVYO MISS TANZANIA ALIVYOJIVUA TAJI HAPO JANA.





Hatimaye Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu amekubali yaishe na kuachia taji alilokuwa akilishikilia la Miss Tanzania 2014. Miss huyo ametoa taarifa ya kujivua taji hilo katika ukurasa wake rasmi wa Facebook.
 
 

0 comments:

Post a Comment